Ndugu wanaJF juzi niliingia ndani ya compaund ya Tanesco pale ubungo nilikuwa na shidaya kumuona jamaa mmoja kwa masuala fulani lakini nilishangaa kukuta mitambo ya Dowans inafanya kazi nilimuuliza vipi mbona haya majenereta yanafanya kazi akasema "ah.... we acha tu...".
Ndugu zangu mwenye details za mauziano anisaidie kunielewesha kidogo kulikoni?
Ndugu zangu mwenye details za mauziano anisaidie kunielewesha kidogo kulikoni?