Mitambo ya Mtera haijawahi kukarabatiwa...........

Mitambo ya Mtera haijawahi kukarabatiwa...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Habari hii ya kusikitisha imo kwenye gazeti la Majira la leo ambapo tunahabarishwa ya kuwa kumbe tangia tuifunge mitambo ya Mtera ya kuzalisha umemem tulienda kuuchapa usingizi na sasa ni takribani miaka 20 imepita sasa bila kukarabatiwa.............

Wahenga walinena ..........Usipoziba ukuta utajenga ukuta............

yaelekea hilo ndilo tunalolitaka............kuijenga upya mitambo ya Mtera na kwa gharama kubwa mno.......................

Kweli Maisha bora kwa kila Mtanzania ni njozi ya kusadikika ya viongozi wa CCM peke yao.........
 
Hiyo ni kawaida kama sheria hapa kwetu..tunasubiri Major Failure ndo waziri aende pale waanze kufurushana.
Si unaona hata transformer za akiba(Emergeny) hawaweki mpaka waagize.na mgao ukiisha yale mafuta ya IPTL yanayeyuka,Mgao ukirudi wanakuwa hawana mafuta mpaka meli itie nanga tena hapo
Hiyo ndio TZ bila Nyerere!!
 
Back
Top Bottom