Sidhani kama Israel Yuko kimya lazima Kuna mission ya muda mrefu inasukwa kuhusu hao Houth ni suala muda tu tuombe uhai.Hezbollah na Hamas wametulia kwa muda baada ya "vichwa vya nyoka" kukatwa. Houthi bila kukata vichwa wataendelea kusumbua.
Wakiuwa watu mnasema Wanawake na watoto. Wakiangamiza miundombinu wezeshi mnasema amepiga jangwani, mara matenki. Kwani mnamchagulia namna na wapi pa kupiga ??Ndo wanachokiweza hicho,kupiga matanki ya mafuta, viwanda vya saruji, hospital,water pumps
Huwaoni hawakatishi pale Bab Al Mandeb?Hakika magaidi ni wajinga Sana, hivi hawa wendawazimu wanaamini wanaweza kushindana na Israel?
Vita vina sheriaWakiuwa watu mnasema Wanawake na watoto. Wakiangamiza miundombinu wezeshi mnasema amepiga jangwani, mara matenki. Kwani mnamchagulia namna na wapi pa kupiga ??