Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya ushindi wa kishindo. Inaonekana wapinzani wa ccm hawakumuelewa, sasa kwa kilichotokea Tunduma, Songwe na Mbeya wanapaswa kujua na kujitambua kwamba sasa MITAMBO inaanza kulipuka na kutakuwa na casualties wengi sana kisiasa.
Chadema centre zenu za huko Mbeya na songwe hasa kambi yenu kuu pale Tunduma tayari hali ni dhooofu, Tunduma inaelekea kuwa ya kijanI KIBICHI KABISA na hilo liko wazi . Comrade Simba (SILINDE) jana alipewa assignment ya kumalizia masalia.
Camrade Bashiru jana alikuwa centre ya mashariki akiangalia kitufe cha mtambo kama kimekaa sawa, siku mbili zijazo button nyingine itaponyezwa na mshindo mkuu Zaidi ya Tunduma unategemewa kusikika.
Sasa ni dhahiri kuwa mitambo ya ushindi sasa iko mkao wa kulipuka na madhara yake ni kwa Comrade, ndugu, John Pombe Joseph Magufuli(Ng’wanasusana) kuibuka na ushindi mnono wa 90-95%.
Maendeleo hayana chama ewe mwanachi hapo tarehe 28/10, piga kura yako kwa ndugu, John Pombe Joseph Magufuli