Uchaguzi 2020 Mitambo ya ushindi ya Dkt. Bashiru Alli yalipuka huko Tunduma

Kuna watu bado wanadhan ccm haishindi? Watu wanaumiza vichwa ushindi uwe 90%
 
Upuuzu mtupu...sisi watu wa tunduma ndiyo twaujua ukweli haswaa wa pukutiko lenu...ni kwamba mwaka huu tunduma hamna chenu kabisaaaaa!!! Na hapa mnapaswa kujifunza uvumilivu wa kisiasa na siyo kwa hizi comedy zenu za wazi.. Yaani nyie mnasomba watu wasio wa tunduma kusudi waujaze mkutano wenu huku mkijigamba et tdm nyomi la maana kumbe utopolo KWA KIFUPI mwaka huu kiyama ya ccm tanzania nzima IMEKUFIKENI ,hii namba ni yeny na huu mziki ni wenu MTAUCHEZA TU!!! 😂😂😂😂😂😂
 
Hivi ndiko mzee faza alikotishia watu kutowaletea maji?
 
Pumbavuuuuuu 🤧🤧🤧🤧
 
Muhaya atakaeweza kutamka hili neno "Ng’wanasusana" nampa buku la soda
 
Unatuzungumzia sisi wana Tunduma tulioenda kuona shoo ya mondi au?
 
Nani atachagua jitu katili, baguzi, mfumo dume, sura mbaya, nyanyasaji, bambikaji kesi n.k?
Kwa mafisadi na wizi kama wewe lazima waseme hivyo kwa kuwa wananyooshwa kweli kweli awamu hii.
 
Rubbish
 
Walisema come 2020 Magufuli hatakuwa na kampeni na kwamba ccm itakuwa ni "Walkover" tu.

Kumbe walitaka wafanye kama uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa hawalali hadi ofisi zimebaki tupu. Chama chote kinahenyeshwa na mtu moja tu.
 
Tunduma watu walisombwa kutoka Mbeya ,Songwe ,Momba Ileje. Mlowoo,Vywawa Ndarambo kila Kona jumlisha wanafunzi wote msingi na sekondarina wafanya kazi wote

Hakika walikusanywa + Fiester ya wasanii maarufu kweli uwanja ulitapika.

Subiria siku ya kura utaona na watu ambao hawanaga utani na kura zao ni TDM
 
Hata anayekufa hua hatarajii kufa kwa sababu hajui kufa kukoje. Mngekuwa na hekima mngeanza kujitayarisha na msiba.
 
Hivi ndiko mzee faza alikotishia watu kutowaletea maji?
Huyu nduli aliyepinda bichwa ka korosho hovyo sana na bure kabisa eti anatufokea, Wana Tunduma ni watu wanaojitambua . Diamond alipomalza kuimba tu watu wakawa wanasepa jamaa siyo kufura na kuanza kufoka mi nikajisemea usitufokee.
 
Imelipuka kweli, CCM Tarajieni majeruhi wengi baada ya kulipuka mitambo yenu.
Majeruhu wa kwanza ni Magufuli kwa kupata kichapo cha Mwaka ,Historia itashuhudia .
Wewe ushapiga kura marangapi? Usione hii hali iliyopo twitter ukazani mtaani ipo.
Ccm bado wananafasi ya kushinda zaidi ya asilimia 65.
 
Duu ulijuaje? Niliona katika video nikakihurumia sana chama changu. Watu waliondoka bila woga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…