Mitandao 10 ya kuuza na kununua bidhaa online inayotembelewa zaidi Tanzania

Mitandao 10 ya kuuza na kununua bidhaa online inayotembelewa zaidi Tanzania

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,383
Reaction score
7,980
Kama ni mfanyabiashara unauza au unategemea kuanza kuuza bidhaa zako mtandaoni kuliteka soko mtandaoni.
Ukiachana na kutangaza bidhaa zako kwenye mitandao ya kijamii pia kuna mitandao mingi inawayowakutanisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa au huduma online

Ambayo unaweza ukauza na ukatafuta bidhaa zote mtandaoni kama simu,nyumba,viwanja,gari,ukatafuta kazi,na zaidi

Ipo mitandao mingi lakini Leo nimekuja na hii list 10 ya online market za kuuza na kununua Tanzania ambazo zinatembelewa zaidi na watu siwezi sema utauza bidhaa haraka lakini ukitangaza bidhaa/huduma upo uwezekano mkubwa wa kuuza bidhaa

Hizi hapa


1.Jumia.co.tz

2.Zoomtanzania.com

3. Kupatana.com

4.olx.co.tz

5.guliostore.com

4. kivuko.com

5. cheki.co.tz

6.advertisingdar.com

7.zudua.com

8.bongoduka.com

9.laptopcity.co.tz

10.beichee.co.tz
 
Hao jamaa wa kivuko.com walianza zamani sana lakini naona hawakui sijui kwa nini, kama sikosei ilikuwa mwaka 2011.
 
Back
Top Bottom