Mitandao inahifadhi kumbukumbu.

Wengine walidhani wana hati miliki ya daisy Llilies
Zamani hakuna simu mkiachana unasahau...siku hizi usipofuta.....

Ukianza kuangalia hadi unaanza kujionea aibu.
 
Na facebook waongo kweli wanakuletea kumbukumbu ya miak 10 iliyo pita upo na mtto mkali
 
Zile picha na pm za Khantwe una mpango wa kuzifuta lini mkuu?[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…