Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Inakuingizia beI gani zaidi ya kula bundle?Ila tusipangiane maisha mimi napendelea sn kutumia AI km Grok,Gemini,Chat GPT,Capilot na DeepSeek kuna idea nyingi zimechama humo siwezi kuhangaika kutafta habari za mastaa na umbeya wa mitandaoni kwa sbb nina kazi ya ziada nje ya mitandao..
Mkuu baada ya hili povu unawashauri nini watumiaji wa mitandao? je wewe unaingiza kiasi gani? unatumia njia zipi?Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.
Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye status za watu, reels, memes na drama za watu maarufu. Saa nane mchana yupo pale pale – comment hapa, like kule, share huko. Jioni anaposti, “Siku imeisha, Mungu ndiye anajua.” Mungu anajua kweli, lakini wewe unajua muda wako umeishia wapi?
Kwa hili andiko mbona na wewe umetupotezea muda na bandle, hujaja na utatuzi, au ndo unataka watu waje inbox wawe fursa kwako!?Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.
Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye status za watu, reels, memes na drama za watu maarufu. Saa nane mchana yupo pale pale – comment hapa, like kule, share huko. Jioni anaposti, “Siku imeisha, Mungu ndiye anajua.” Mungu anajua kweli, lakini wewe unajua muda wako umeishia wapi?
Mfano halisi?
Kuna binti mmoja Tabata, kila siku ni TikTok. Hana biashara, hana kazi, hana hata mpango wa kuanza kitu kidogo. Ana followers 5,000 lakini hakuna hata mmoja anayemnunulia sabuni.
Kijana mmoja Mbagala, anajua updates zote za mastaa – kuanzia ndoa za Alikiba hadi scandal za Harmonize – lakini hajui hata bei ya fremu ya kuuza genge.
Hebu jiulize:
Simu yako inakutumikia, au wewe ndiye unaitumikia?
Kwanini usianze kutumia muda wako kuangalia tutorials, kutafuta ideas, au hata kuuza kitu kidogo online?
Unafikiri wale wanaotengeneza content unayotazama wanapoteza muda kama wewe? Hapana, wao wanapiga hela. Wewe unatoa muda wako – wao wanachukua hela yako kupitia matangazo.
Hitimisho: Mitandao siyo mbaya, tatizo ni matumizi. Ukiitumia vizuri, inaweza kuwa daraja la mafanikio. Lakini ukishinda humo bila malengo, mitandao itakula akili zako, muda wako, hata ndoto zako – na bado haitakupa hata mia moja.
Chukua hatua. Tumia mitandao kwa akili. Tumia muda wako kama mtaji, siyo takataka.
Kuna pioject nyingi za ufugaji na kilimo zinanisaidia kufanya reseach kumbuka mimi sio kula kulala na omba omba wa kushinda kijiweni...Inakuingizia beI gani zaidi ya kula bundle?
Chuchu za picha ya ID lazima zikufanye usipangiwe maisha wallah..!!Ila tusipangiane maisha mimi napendelea sn kutumia AI km Grok,Gemini,Chat GPT,Capilot na DeepSeek kuna idea nyingi zimechama humo siwezi kuhangaika kutafta habari za mastaa na umbeya wa mitandaoni kwa sbb nina kazi ya ziada nje ya mitandao..
Sawa, ila sema nini ujuwe, wengine wana mikazi yao, wanaitumia mitandao kama wewe unavyotumia bia..!!! BURUDANISiku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.
Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye status za watu, reels, memes na drama za watu maarufu. Saa nane mchana yupo pale pale – comment hapa, like kule, share huko. Jioni anaposti, “Siku imeisha, Mungu ndiye anajua.” Mungu anajua kweli, lakini wewe unajua muda wako umeishia wapi?
Mfano halisi?
Kuna binti mmoja Tabata, kila siku ni TikTok. Hana biashara, hana kazi, hana hata mpango wa kuanza kitu kidogo. Ana followers 5,000 lakini hakuna hata mmoja anayemnunulia sabuni.
Kijana mmoja Mbagala, anajua updates zote za mastaa – kuanzia ndoa za Alikiba hadi scandal za Harmonize – lakini hajui hata bei ya fremu ya kuuza genge.
Hebu jiulize:
Simu yako inakutumikia, au wewe ndiye unaitumikia?
Kwanini usianze kutumia muda wako kuangalia tutorials, kutafuta ideas, au hata kuuza kitu kidogo online?
Unafikiri wale wanaotengeneza content unayotazama wanapoteza muda kama wewe? Hapana, wao wanapiga hela. Wewe unatoa muda wako – wao wanachukua hela yako kupitia matangazo.
Hitimisho: Mitandao siyo mbaya, tatizo ni matumizi. Ukiitumia vizuri, inaweza kuwa daraja la mafanikio. Lakini ukishinda humo bila malengo, mitandao itakula akili zako, muda wako, hata ndoto zako – na bado haitakupa hata mia moja.
Chukua hatua. Tumia mitandao kwa akili. Tumia muda wako kama mtaji, siyo takataka.
Ukweli mtupu.Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.
Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye status za watu, reels, memes na drama za watu maarufu. Saa nane mchana yupo pale pale – comment hapa, like kule, share huko. Jioni anaposti, “Siku imeisha, Mungu ndiye anajua.” Mungu anajua kweli, lakini wewe unajua muda wako umeishia wapi?
Mfano halisi?
Kuna binti mmoja Tabata, kila siku ni TikTok. Hana biashara, hana kazi, hana hata mpango wa kuanza kitu kidogo. Ana followers 5,000 lakini hakuna hata mmoja anayemnunulia sabuni.
Kijana mmoja Mbagala, anajua updates zote za mastaa – kuanzia ndoa za Alikiba hadi scandal za Harmonize – lakini hajui hata bei ya fremu ya kuuza genge.
Hebu jiulize:
Simu yako inakutumikia, au wewe ndiye unaitumikia?
Kwanini usianze kutumia muda wako kuangalia tutorials, kutafuta ideas, au hata kuuza kitu kidogo online?
Unafikiri wale wanaotengeneza content unayotazama wanapoteza muda kama wewe? Hapana, wao wanapiga hela. Wewe unatoa muda wako – wao wanachukua hela yako kupitia matangazo.
Hitimisho: Mitandao siyo mbaya, tatizo ni matumizi. Ukiitumia vizuri, inaweza kuwa daraja la mafanikio. Lakini ukishinda humo bila malengo, mitandao itakula akili zako, muda wako, hata ndoto zako – na bado haitakupa hata mia moja.
Chukua hatua. Tumia mitandao kwa akili. Tumia muda wako kama mtaji, siyo takataka.
Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.