Mitandao na e-mail za taasisi za kiserikali, emails hazifiki

Mitandao na e-mail za taasisi za kiserikali, emails hazifiki

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Zile email ni geresha ama?

Tukisema tujaribu namba za simu napo labda. Wahusika.............
1658416813971.png
 
Uhakika bro?
Uhakika bro, japo hizo ni kwenda taasisi moja katika kila tawi nililochagua.

Ila kikawaida tu, ni email ngapi umeshafanikiwa kutuma, zikatumika, zikapokelewa na zikafanyiwa kazi halafu zikajibiwa!!!

Kwamgu ni asilimia chini ya mbili
 
Back
Top Bottom