Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala
Anahusika kwa 100%
wamemkamata kamata wamechoka wameona bora wamuuwe.
Kuwa mpole uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazihiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala
Akikujibu ni tag nimpe zawadiWewe unamjua vipi Magufuli zaidi ya kumsifia na kusubiria teuzi?
Ningekuwa Mungu ningeagiza malaika afungie vyombo vya habari. Nyingine taarifa ya leo ya Mkulu wa mjitupe ushahidi mkuu
Baadhi ya Watanganyika ambapo ww ni mmoja wao wanamatatizo ya ufahamu kwa kuamini mawazo yao na hisia badala ya akili na factsMawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.
Hahahahahahha haya but wakati mwingine ni vizuri kuruhusu akili kufanya kazi badala ya kuachia hisia na mawazo kutawala ubongo wako mkuuWewe unamjua vipi Magufuli zaidi ya kumsifia na kusubiria teuzi?
Sasa ukosoaji ndio nin jaman...... apone tu maaanaKishingo upande, niviongelee vyombo vyetu vya dola. Kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ndiye mkosoaji mkuu wa awamu hii ya tano na ambaye hata kiongozi mkuu amemsema mara kadhaa japo indirectly kuhusiana na masuala ya madini, nilitarajia vimpe ulinzi TL, hata kama sio wa moja kwa moja.
Jaribio la kuuawa kwake ni doa kwa serikali. Iwe inahusika au haihusiki. Leo Lissu angeuawa vyombo vya dola vingekuwa na uhakika gani kwamba wananchi wangekuwa watulivu? Vyombo vya dola vinailinda vip serikali iliyopo madarakani kama haiwezi kuzuia matukio yanayoweza kufanya wananchi wengi waichukie? Vyombo vya dola vinapaswa kumlinda Tundu Lissu hata kama havimpendi.