sunday kaposwe
Member
- Sep 8, 2017
- 88
- 25
transparent
rule of law
eguity
nimechoka kutaja
rule of law
eguity
nimechoka kutaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kwa andiko lako hili ni kwamba Lissu hakupigwa risasi? Si kweli kwamba amekwaruzana sana na Magufuli kiasi kwamba amekamatwa mara kadhaa na kuwekwa rumande? Kwa hiyo wangeandika kinyume cha mambo yanavyotukia?Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi??
mkuu hata kenya wasiojulikana wapo wengi tu..viongozi wawili wa tume ya uchaguzi waliuawa na watu wasiojulikana...na kenya ni michosho tuWanandugu tusijadili siasa ya Tanzania, koz mchosho, tujadili za kenya Au USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine kauli,na namna uhalifu unavyo shuhulikiwa pia kuna viashiria vingi sanaWewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Pasua kichwa hii issuehiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Hata sisi kulikuwa tanayaandika mabaya ya MobutuVyombo vya habari ni vyao, inakuwaje unawapangia cha kuandika?!
Pili kwa wanavyomfanyia Lissu na wapinzani kwa ujumla ulitegemea waandikeje?!
Kama kuchafuka tulishachafuka kitambo.., mshaurini tu huyo anayejitapa hashauriwi na mtu ili aongoze kwa kufuata misingi ya haki na katiba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walioandika mbona watu wa mitaani kama vile sisi tunayo andika habari za Arsenal na Manchester?Nchi zilizoendelea huwa zinamonitor matukio kama hayo pale zinapoona maslahi yao yanaathiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
smart people ??? embu acheni conspirancy theory za kitoto!! lisu alishasema ametishiwa kuuawa toka january je makinikia yalikuwa yamekamatwa??hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
ingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand thishiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
ACCACIA? Waliingiaje nchini? Nani aliwaleta? Walijipa wenyewe hiyo migodi? Wa kulaumiwa kuingia nao mikataba hafahamiki? Iweje wengine wanaonekana watetezi wao wakati waliingia nao mikataba wanafamika?hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Nusuhela ulishaamini kuwa Mungu yupo? Amini amini nakwambia, Mungu yupo na ndiye aliemponya Tundu Lissu.Hii Vita tuliitaka wenyewe. Haina haja ya kulia lia hapa.
Nakumbuka kipindi wapinzani wakiitaka serikali kuweka mikataba ya madini na gesi wazi.
Kwakua tulijawa na uchama na sio uzalendo kwa taifa letu, tulitumia nguvu nyingi kuwashambulia hawa wapinzani ili waonekane hawafai.
Leo tunaiita vita na kuwaita sio wazalendo hawa waliolaza sauti zao.
Kwakua huo ni msiba wa kujitakia, basi hakikisheni mnashinda maana mlisaini wenyewe hiyo mikataba gizani huku mkipiga makofi na kuwazomea wenye maono
Sent using Jamii Forums mobile app
lumumba wanajua kutumia google kweli? au labda hao jamaa wa huko duniani wamezungumzia ditopile na kighoma malima kama walivyotaka shaka na jokateMbona mi nimesearch na hamna kitu kama hicho
hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira