Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi!
Na tigo ndo kabisaaaa
Hawatoi tamko lolote lile, Watumiaji tunaumia
UPDATE
Hatimaye Mtandao mmoja Tanzania umtoa tamko juu ya tatizo hili Internet, na wameeleza kuwa Tatizo hilo ni kutokana na tatizo lililoikumba Mkongo wa taifa baharini
Nilijuwa labda ni mimi tu au labda simu yangu ina matatizo yanayopelekea mtandao wa internet kusumbua sana tofauti na awali. Kwa sasa imekuwa ni shida sana kiukweli.