Mitandao ya kijamii iwe BASIC NEED(INTERNET)

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Habari hapa jamani! Nimewaza aise nadhani imefika wakati sasa mitandao(internet) iwe moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kwasababu:-
kuna muda mtu ukikosa bando mambo hayaendi kabisa thatโ€™s vivid ni kama kuna kuwa na kitu unakuwa umekosa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… same kama ukiwa umekosa kula vile na hivi ambavyo mabando yanaenda hivi sasa watatua.
Pia kuna muda mtu anajibana kula ili kidogo kupata pesa kidogo kwa ajili ya bando especially me
Na tunako elekea itakuwa mtu ukiweka vocha unahitaji ulinzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ