B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Habari hapa jamani! Nimewaza aise nadhani imefika wakati sasa mitandao(internet) iwe moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kwasababu:-
kuna muda mtu ukikosa bando mambo hayaendi kabisa that’s vivid ni kama kuna kuwa na kitu unakuwa umekosa 😅😅 same kama ukiwa umekosa kula vile na hivi ambavyo mabando yanaenda hivi sasa watatua.
Pia kuna muda mtu anajibana kula ili kidogo kupata pesa kidogo kwa ajili ya bando especially me
Na tunako elekea itakuwa mtu ukiweka vocha unahitaji ulinzi 😂😂