Mitandao ya kijamii kwa mgawanyo wa jinsia

Mitandao ya kijamii kwa mgawanyo wa jinsia

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Facebook- Wanawake kwa wanaume
Tweeter-Mtandao wa kiume
Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada
TikTok- Wadada

Kidume akiwa na TL account hashangazi.

Uzi tayari.
 
Facebook- Wanawake kwa wanaume
Tweeter-Mtandao wa kiume
Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada
TikTok- Wadada

Kidume akiwa na TL account hashangazi.

Uzi tayari.
Hakuna mtandao wa kike au wa kiumee jombaa.

Mimi ni mfanyabiashara online.

Niko Twitter,Fb, Instagram,tuktok
 
Back
Top Bottom