Bright2025
New Member
- Jul 20, 2020
- 4
- 2
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA:
Mimi hapa ni:-
LENGO KUU LA MITANDAO WA KIJAMII
👍Kuelimisha: Kwa aliyeanzisha/gundua alijua itatumika kuelimisha jamii ya sasa na kufikia kiwango cha juu cha mendeleo kwa hilo amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Mfano kutafuta matukio yanayohusiana na masomo hasa wanfunzi wa vyuo.
👍Kutengeneza ajira: Mitandao ya kijamii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutengeneza ajira kwa vijana na wazee hivyo imesaidia kupunguza idadi ya wasio na ajira(unemployments) duniani kote.
👍Kuburudisha: Mitandao hii ya kijamii kwa kiasi fulani pia hutumika kama semehemu ya burudani (enjoyments) kama vile muziki na vichekesho mbalimbali vinavyopatikana kwenye Mitandao ya kijamii.
👍Kuhabarisha: Mitandao ya kijamii pia hutumika kama sehemu ya kufikishia ujumbe sehemu mmoja kwenda nyingine kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Mfano Facebook,Instagram, tweeter na WhatsApp.
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA .
👎Mitandao ya kijamii inanyanya sana kijinsia tena jinsia zote za kimue(male) na kike(female) hii inatokana na baadhi ya watu kuanzisha tovuti (blogs) mbalimbali na kusambaza habari za watu tena huwa wanasambaza kwa kasi zaidi habari mbaya /hasi za uzalilishaji kwa kijinsi bila ridhaa ya mtu mwenyewe na kupelekea tafaruku kwa jamii inayowazunguza wahanga wa habari hizo. Kutokana na matukio kama hayo inafanya mtu kudharaulika na jamii inayomzunguka na kukosa fursa mbalimbali katika jamii yake kutokana na kuchafuliwa kwenye mitandao ya kijamii kwa maslahi ya watu wachache. Mfano wa tukio la kumpiga mtu picha za utupu kwa uwizi au kumlaghai na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii hii unaweza kumfanya mtu kukosa nafasi za kupata wadhifa kwa jamii kutona tukio hilo kusawambazwa mtandaoni.
👎Mitandao ya kijamii inamadhara makubwa sana endapo mtu akitumia kwa lengo la kumchafua mtu kwa watu maana kwa karne hii mitandao ya kijamii imekuwa na wafatiliaji wengi sana hii imepelekea habari kusamba kwa kasi zaidi na kuwafikia watu wa rika tofauti tofauti.
USHAURI WANGU KWA JAMII YA KITANZANIA.
🔥Kuepuka na matukio yanayosababisha mitandao hii ya kijamii kuwa kama kifungo cha maisha kwa kufanya mambo yaliyo kinyume na utamaduni wa kiafrika na kupoteza thamani na utu kabisa katika maisha ya kawaida.
🔥Tusiige mienendo ya jamii zaingine kwa kusema ndiyo mabadiliko ya sayansi na teknologia kwa kuweka maudhui yasiyo na maadili katika mitandao ya kijamii na kusahau kuwa baada ya miaka kadhaa kuna watakao kuja kujifunza kupitia matendo yao.
Kwa majina naitwa MTANDAO WA KIJAMII napatikana hapa hapa ulipo msomaji kwa msaa 24. Mimi nilikuwepo hapa kabla miaka ya 1993. Kwa umri huu huenda nimekuzidi wewe au umenizidi wewe unayenitumia kwa maslai chanya(faida) au hasi(hasara)..Kwa sifa zangu chache mimi naweza kukufanya ufanikiwe na usifanikiwe ni kutokana na wewe utakavyo itumia.Mimi hapa ni:-
Tweeter
YouTube
LENGO KUU LA MITANDAO WA KIJAMII
👍Kuelimisha: Kwa aliyeanzisha/gundua alijua itatumika kuelimisha jamii ya sasa na kufikia kiwango cha juu cha mendeleo kwa hilo amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Mfano kutafuta matukio yanayohusiana na masomo hasa wanfunzi wa vyuo.
👍Kutengeneza ajira: Mitandao ya kijamii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutengeneza ajira kwa vijana na wazee hivyo imesaidia kupunguza idadi ya wasio na ajira(unemployments) duniani kote.
👍Kuburudisha: Mitandao hii ya kijamii kwa kiasi fulani pia hutumika kama semehemu ya burudani (enjoyments) kama vile muziki na vichekesho mbalimbali vinavyopatikana kwenye Mitandao ya kijamii.
👍Kuhabarisha: Mitandao ya kijamii pia hutumika kama sehemu ya kufikishia ujumbe sehemu mmoja kwenda nyingine kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Mfano Facebook,Instagram, tweeter na WhatsApp.
"Hivyo ni kwa uchache tu wa manufa ambayo yanapatikana kwenye mitandao ya kijamii hivyo basi mmoja kwa mmoja twende kwenye hoja yetu ya msingi"
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA .
👎Mitandao ya kijamii inanyanya sana kijinsia tena jinsia zote za kimue(male) na kike(female) hii inatokana na baadhi ya watu kuanzisha tovuti (blogs) mbalimbali na kusambaza habari za watu tena huwa wanasambaza kwa kasi zaidi habari mbaya /hasi za uzalilishaji kwa kijinsi bila ridhaa ya mtu mwenyewe na kupelekea tafaruku kwa jamii inayowazunguza wahanga wa habari hizo. Kutokana na matukio kama hayo inafanya mtu kudharaulika na jamii inayomzunguka na kukosa fursa mbalimbali katika jamii yake kutokana na kuchafuliwa kwenye mitandao ya kijamii kwa maslahi ya watu wachache. Mfano wa tukio la kumpiga mtu picha za utupu kwa uwizi au kumlaghai na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii hii unaweza kumfanya mtu kukosa nafasi za kupata wadhifa kwa jamii kutona tukio hilo kusawambazwa mtandaoni.
👎Mitandao ya kijamii inamadhara makubwa sana endapo mtu akitumia kwa lengo la kumchafua mtu kwa watu maana kwa karne hii mitandao ya kijamii imekuwa na wafatiliaji wengi sana hii imepelekea habari kusamba kwa kasi zaidi na kuwafikia watu wa rika tofauti tofauti.
ATHARI ZA MITANDAO YA KIJAMII ZA KILA SIKU.
👎Vifo.
👎Dharau/kudharaulika kwenye jamii.
👎Ukosefu wa ajira.
👎Umalaya.
👎Uzembe katika kazi.

Upvote
1