Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Mailman

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
819
Reaction score
2,106
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.

Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?

Natumia Mtandao wa Tigo

PIA SOMA
= >
 
Mimi iligoma zamani nikaamua kui uninstall.Natumia You tube GO lakini nayo imenigomea tena muda mfupi uliopita.

Mimi imekata nikiwa naangalia, ndo ikawa moja kwa moja.

Sijajua tatizo ni nini.
 
Nyie watu mnapenda attention sana asee..View attachment 1613788

Attention gani? Wanatafuta!, YouTube ipo down/restricted na taratibu attributes zitawafikia wengi kaa tayari kuwa mmoja wao na usiseme unapenda attention. Twitter, WhatsApp, Telegram, Youtube zipo stained na Facebook inanonesha dalili pia.

Seems hawakuweza ku-shut kwa pamoja na wanatumiaji mitandao ya mwasiliano kama msaada wa kuweka restrictions.
 
Nimetest ni kweli in load tu labda itakuwa kwa baadhi ya watu maana Kuna muda watu walikuwa wakilalama mitandao haifanyi kazi Ila wakati mimi nilikuwa napeta.. so i think kutakuwa na katatizo ka mtandao

Utakuwa unapenda attention pia ndiyo maana imegoma kwako.
 
Back
Top Bottom