Upo Lumumba?Mbona mm naipata vzr tu
Hapana nipo UfipaUpo Lumumba?
Basi ni zile fitina zao wamefanya!Hpn npo ufipa
Mbona mm naipata vzr tu
Voda na AirtelKwa mtandao gani?
Vods na airtel
Mimi iligoma zamani nikaamua kui uninstall.Natumia You tube GO lakini nayo imenigomea tena muda mfupi uliopita.Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
Nimetest ni kweli ina load tu labda itakuwa kwa baadhi ya watu maana Kuna muda watu walikuwa wakilalama mitandao haifanyi kazi Ila wakati mimi nilikuwa napeta.. so i think kutakuwa na tatizo la mtandaoNyie watu mnapenda attention sana asee..View attachment 1613788
Mimi iligoma zamani nikaamua kui uninstall.Natumia You tube GO lakini nayo imenigomea tena muda mfupi uliopita.
Nyie watu mnapenda attention sana asee..View attachment 1613788
Nimetest ni kweli in load tu labda itakuwa kwa baadhi ya watu maana Kuna muda watu walikuwa wakilalama mitandao haifanyi kazi Ila wakati mimi nilikuwa napeta.. so i think kutakuwa na katatizo ka mtandao
Napenda attention za mamanzi Mimi wala si siasa mi napenda Totoz..😜Utakuwa unapenda attention pia ndiyo maana imegoma kwako.
mtandao gani? mimi natumia voda haipatikaniyoutube ipo imejaa tele