A
Anonymous
Guest
Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi
1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia.
2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata simu na kupiga tena, na hapo point ya kwanza itarudia tena.
Hii kitu kuna zaidi ya miezi 6 haifanyiwi kazi, ilianza na Halotel na sasa hivi Yass pia hivyo hivyo.