Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

Nimetoka kuongea na mtu sasa hivi.. Namba ile ile ya airtel mie tigo, namba ninayozungumza nayo, nasikia simu inaita kucheki namba ile ile ambayo ninazungumza nayo mdio eti inanipigia tena..
Jana kuna mwamba kalalamika kunipigia sana simu inatumika hali yakuwa sikuwa nikizungumza na simu.
 
Ilinikuta hii simu imezima chaji maana hapakua na umeme Ila kila nikipigiwa simu inatumika Yani iliniletea shida balaa naambiwa nimeblock namba Yani Ilikua ngumu kueleweka bahati namba Zote zikinipigia inasema hivyo ndo ikawa pona yangu laasivyo ningekula makofi
 
Babe mama kanikasirikia siku moja kisa tigo laini haikuwa hewani lakini ikawa inaita, akajua labda nafanya kusudi kutopokea simu yake kumbe lah...!
 
Back
Top Bottom