Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kuna rafiki yangu kanifuata siku ya leo jioni nimsajilie laini ya vodacom, sikutaka kuhoji, tukaingia kwa wakala nikamtolea laini, ni kwa vile tu yeye hana NIN.
Baada ya kumsajilia ndipo kuanza kuzungumzia usajili wa laini ya Tigo niliyomsajilia miezi miwili iliyopita. Akadai kuwa ameamua kuivunjilia mbali baada ya deni la mkopo wake kufikia Tsh 5000.
Najuta sana kumsajilia laini nyingine maake nina wasiwasi ataitenda sawa na alivyoitenda ile ya kwanza.
Je, cherikali ina mpango upi na madeni ya bahati mbaya kama hayo? Maake ile kauli ya mifumo iumane inanipa mashaka. Tusije kushangaa tunakwata salio kumbe tunafidishia madeni ya laini zilizovunjwa.
Naimani nimeeleweka kwa kiwango fulani.