Pre GE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

Pre GE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Duuh na wananchi wanashangilia sababu hawaelewi, kesho wakiongeza tozo kwenye simu watalalamika
Mh. Jakaya aliwahi kusema huyu jamaa akitamka jambo lazima wajipange kwa muda ili kusafisha hali ya hewa....Mama atajipanga na kutoa muda? au GEN z syndrome itabadili upepo....
 
Kuna namna magufuli hakukosea kumtoa kwenye mfumo!
Ngoja tuone itakavyo kuwa maana nchi yao hii bwana!
 
Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi.
View attachment 3044227
Je, ni maelekezo kutoka juu?
Hiyo ni siasa tu.....
 
Kitu gani hakijaeleweka. Mitandao ya simu ni washika dau. Hivo allimaanisha hashindwi kuongea nao, wakamsaidia kupata milioni 300, na si hao. Alimnyooshea kidole hata mwananchi kwamba yeye katika eneo lake, haawezi kosa watu kadhaa wakasaidiana.
Yaani mtaani watu wanafanya harusi za milioni 300, ishindikane uwe karibu na watu wa mtandao, na wanafunga kila siku manguzo kuchangisha 300ml.
Unataka maelezo gani mengine hapo ndugu
 
Mh. Jakaya aliwahi kusema huyu jamaa akitamka jambo lazima wajipange kwa muda ili kusafisha hali ya hewa....Mama atajipanga na kutoa muda? au GEN z syndrome itabadili upepo....
😂😂😂😂. Wajipange kudeki
 
Hivi kwa kauli hii huyu waziri anaweza kuzibana au kuziwajibisha hizi kampuni za simu pale zinapoenda fyongo?

Anyway ni utani tu.
 
Hivi kwa kauli hii huyu waziri anaweza kuzibana au kuziwajibisha hizi kampuni za simu pale zinapoenda fyongo?

Anyway ni utani tu.
Hivi wewe mtu akikutukana kwamba wewe Ni bwabwa mbele ya watu na ma camera ya video halafu kesho akakuambia nilikua nakutania utaelewa kwamba Ni utani?
Huyu Hana utani na wahaya , angekua mkurya tungesema alikua anawatania babu zake wahaya.
 
Hivi alisema NI au NINA ?

Anyway huyu mzee huwa anadharau sana ukizingatia Mapoyoyo wa Kijana kibao tu anawazid akili akiwamo Ma'Dully
 
Pedejeee Nape aka papaaa Nape mzee wa kumiliki makampuni 5 ya simu Tanzania. Wapi FCC? Makampuni matano anamiliki mtu mmoja na Serikali inamchekea.

Huyu atakuwa anahujumu watumiaji wa mitandao kwa kupanga bei anavyotaka yeye
 
Back
Top Bottom