Mh. Jakaya aliwahi kusema huyu jamaa akitamka jambo lazima wajipange kwa muda ili kusafisha hali ya hewa....Mama atajipanga na kutoa muda? au GEN z syndrome itabadili upepo....Duuh na wananchi wanashangilia sababu hawaelewi, kesho wakiongeza tozo kwenye simu watalalamika
Hiyo ni siasa tu.....Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi.
View attachment 3044227
Je, ni maelekezo kutoka juu?
Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na Voda!
Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu. Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa. Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...www.jamiiforums.com
Roho wa Mungu anamtumia Nape kutuambia matendo ya CCM tangu zamani. Japo Shetani anamtumia Makalla kuuzima ukweli. Makalla CCM ina wenyewe!Ila anaropoka yenye uhalisia
šššš. Wajipange kudekiMh. Jakaya aliwahi kusema huyu jamaa akitamka jambo lazima wajipange kwa muda ili kusafisha hali ya hewa....Mama atajipanga na kutoa muda? au GEN z syndrome itabadili upepo....
Kukosa elimu ni shida sana!NAPE mropokaji na wana kagera wamekosea kwa kushangilia bila kuhoji
Hivi wewe mtu akikutukana kwamba wewe Ni bwabwa mbele ya watu na ma camera ya video halafu kesho akakuambia nilikua nakutania utaelewa kwamba Ni utani?Hivi kwa kauli hii huyu waziri anaweza kuzibana au kuziwajibisha hizi kampuni za simu pale zinapoenda fyongo?
Anyway ni utani tu.
Nape amelewa madarakaUkilewa isihutubie hadharaš¤£
Nape ni mtu mdogo sana kama Mke wa Zakayo akishuka.Nape amelewa madaraka