Pre GE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wengi siyo waadilifu,wanatoa maagizo tata kwa taasisi zilizo chini ya wizara zao.Ni hongo
 
Nape hana kampuni yoyote ya simu
 
Nape kajisahau kasema ukweli tu.

Hiki si suala la mitandao ya simu, makampuni makubwa yote, ya umma na ya binafsi, yanachangia CCM nje ya mfumo wowote maalum.

Ukiongea na ma CEO in confidence wanasema.

Na hili wala si la Nape, lipo tangu kipindi kirefu sana.
 
Nape hana kampuni yoyote ya simu
Nape ana kampuni tano za simu ndio maana ma bando yako Bei juu. Ndio maana Kuna wawekezaji waliotaka kuja kuwekeza ili Bei ya bando ipungue lkn kampuni za nape zimekataa.
 
Siku Ile alipokuea akiwahutubia watu wa Kagera, alikuwa amelewa pombe bwiiiiii😀
Kiongozi unatoa hotuba ukiwa umelewa? CCM hili jipu Nape litawakost, mnayo ongea chumbani Nape atayaweka hadharani maana haja fundwa.
 
Waziri mkuu mstafu wa UK Tony aliwahi sema hivi "shinda kubwa ya viongozi wa Afrika ni kuwaza zaidi uchaguzi badala ya kutatua changamoto za wananchi"

Kule SA, Makaburu waliwaengue watu weusi kwenye mipango na sera za maendeleo sababu wange haribu nani ukweli wetu weusi tumeshindwa kujisimamia.
 
Unafikiri ni sawa kujenga soko Kashai kwa Hisani ya Nape,Byabato,mitandao ya simu ilhali Wananchi wanalipa kodi?
Soko gani hilo la milioni 300 after 63 years of Independence kwa Wana Kashai?
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…