HOJA Mitandao ya Simu inawajibika vipi kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?

HOJA Mitandao ya Simu inawajibika vipi kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Wakuu Salaam

Sorry hivii mitandao ya simu inawajibika vp kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?

Kwa sababu kwangu me naona kuamini kwamba wote wanaotapeliwa hutapeliwa kwa kupigiwa simu na watu wa mitandao hutuambia kwamba namba official ya mitandao ni 100.

Na vipi kuhusu wale wanaozunguka mitaani? Je, mteja analindwaje na haoo?
 
Back
Top Bottom