AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Si jingine ni hili la mitandao ya simu inayotoa huduma za kifedha kupandisha kiholela gharama za kutuma na kutoa pesa.
Tumefika huku jamaniiii. Zamani ilikuwa unaweza kutoa kwenye 5000 ukapata 4500. Siku hizi ni BUKU MZEE WANAKATA BUKU KABISA.
WAMEPANDISHA MARA MBILI.
Au mnaonaje wadau tukalipazia sauti wadau.
Tumefika huku jamaniiii. Zamani ilikuwa unaweza kutoa kwenye 5000 ukapata 4500. Siku hizi ni BUKU MZEE WANAKATA BUKU KABISA.
WAMEPANDISHA MARA MBILI.
Au mnaonaje wadau tukalipazia sauti wadau.