Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 528
- 1,241
Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate ujumbe kwa simu zao iwapo mteja atalipa namba kwa mmoja wapo bila wao kuhakiki kwa kuangalia message kwa mteja.
Mteja akilipa pesa message na salio litaingia kwenye simcard ya lipa namba na ujumbe pia utatumwa kwa namba mbalimbali ambazo mmiliki ataidhinisha. Asanteni
Mteja akilipa pesa message na salio litaingia kwenye simcard ya lipa namba na ujumbe pia utatumwa kwa namba mbalimbali ambazo mmiliki ataidhinisha. Asanteni