Kuna promosheni pendwa sana maalufu " laini ya chuo"
Hii ni simcard iliyokuwa na lengo la kumrahisishia mwana chuo kupata mawasiliano akiwa chuoni kwa bei nafuu!
Huduma hiyo mwanzo ilihitaji kitambulisho cha chuo ili kuunganishwa kutoka mitandao yote!
Sasa hivi kila mtu hata tusiokuwa wanachuo mnatuunganisha bila kubagua (Tunashukuru sana)
Swali; Kama sasa mnaunganisha watu wote; hamuoni kwamba mnatakiwa mtafte jina jingine ili niendane na uhalisia wa promotion?
Au ndiyo mnatuaminisha kuwa mnajua Kucopy na Kupaste?