Mitandao ya simu: Nini maana ya promosheni ya laini ya chuo kama mnaunga watu hata wasio wanachuo?

Mitandao ya simu: Nini maana ya promosheni ya laini ya chuo kama mnaunga watu hata wasio wanachuo?

Laini ya chuo haijawahi kusajiliwa bila kitambulisho cha chuo.Hizo zinazo toleqa mtaani zinakua na ofa inayo dumu si zaidi ya miezi mi tatu
 
Ila nawashukuru Sana hao wa line za chuo wamefanya fungu langu la vocha kuwa rahisi mno
 
Back
Top Bottom