Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hii kesi ina mkanganyiko mwingi mpaka basi! Ngoja tuone huo mwisho wake utakuwaje.
Ila mpaka hapa ilipofikia naona matokeo ni Utetezi fc wanaongoza kwa 5, huku Jamhuri fc wakiambulia goli 1 tu, tena ni la kuotea! Na mfungaji akiwa ni Jaji Siyani.