Sio lazima kila mtu amsemehe kila mtu.ata wewe ungeweza kumsemea sabaya kama uliona utaratibu haukufuatwa.Kwahiyo kama kwa sabaya kuna utaratibu ulikiukwa wako wanaomuhusu kwa karibu walipaswa kua mstari wa mbele kusema ili wengine waunge mkono hoja.Ila kama walikaa kimya unategemea nani atakua mstari wa mbele kusema.Hii nchi tunaweza kushika namba 1, 2 na 3 duniani kwa unafiki. Wiki iliyopita shahidi katika kesi ya Ole Sabaya alitoka Vodacom akiwa ameletwa mahakamani na Jamhuri hatukusikia watu wakilalamikia faragha ya mteja. Jana Jamhuri imemleta mahakamani shahidi kutoka Tigo watu wanalalamika kuhusu faragha ya mteja. Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana. Tunapozungumzia faragha tusibague watu maana wote wako sawa kwenye jicho la sheria na wanapasws kutendewa haki.
Kazi ya kampuni za simu sio kulinda Siri za wahalifu!!! Au magaidi.
Kama wewe ni mhalifu ujue kabisa huko salama kwenye mtandao wowote wa simu
Kazi ya kampuni za simu sio kulinda Siri za wahalifu!!! Au magaidi.
Kama wewe ni mhalifu ujue kabisa huko salama kwenye mtandao wowote wa simu
Kuna jitu nilikuwa nalidai likawa linanilipa kidogo kidogo ikabaki laki na thelathini likagoma. Kwenda voda kuomba taarifa za miamala ya Yule jamaa wakagoma nikawa sina ushahidi.Hakuna siri kwenye makampuni ya simu, ukitaka taarifa na ukiwa na hela utaambiwa kila kitu.
Hukupata tu mtu, wanatoa taarifa labda haujakuna na mwenye njaaKuna jitu nilikuwa nalidai likawa linanilipa kidogo kidogo ikabaki laki na thelathini likagoma. Kwenda voda kuomba taarifa za miamala ya Yule jamaa wakagoma nikawa sina ushahidi.
Mkuu siyo unafiki hata kama sabaya taarifa zake zilitoka vodacom bila kufuata sheria za kimahakama zinavyotaka hilo pia ni kosa kwa vodaHii nchi tunaweza kushika namba 1, 2 na 3 duniani kwa unafiki. Wiki iliyopita shahidi katika kesi ya Ole Sabaya alitoka Vodacom akiwa ameletwa mahakamani na Jamhuri hatukusikia watu wakilalamikia faragha ya mteja. Jana Jamhuri imemleta mahakamani shahidi kutoka Tigo watu wanalalamika kuhusu faragha ya mteja. Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana. Tunapozungumzia faragha tusibague watu maana wote wako sawa kwenye jicho la sheria na wanapasws kutendewa haki.
Hujui vizuri hiyo case kilichotokea FBI walitaka Apple watoe publically Apple wakasema wangeziomba secretly wangewepa bila shida sababu inge tarnish biashara yao.FBI Waka withdraw case dhidi ya Apple na Apple wakawapa kila kitu halafu FBI wakaenda public kutangaza kuwa wao wamegundua software yao ya kudukua kila mteja wa simu .Case ikawa closedKama ni hivyo mbona Apple walikataa kutoa taarifa kwa FBI?
Akikujibu nitagVodacom wametoa ushahidi huko Arusha dhidi ya Sabaya na Benk inetoa footage za CCTV Camera kumtia hatiani Sabaya. Kuna ubaya?
Haijalishi kesi ipi muhimu ni Shahidi kutoa ushahidi,hoja yako ni lawama Kwa tigo Kwa kutoa faragha za mbowe Kwa mahakama umepewa mfano wa voda na bank kutoa ushahidi dhidi ya sabaya, muhimu ushahidi haijalishi kesi ganiNayo ilikuwa kesi ya ugaidi?
Ushahidi sio tatizo tatizo liko kwa mashahidi na namna ya kuwasilisha ushahidi husika.. Afisa kipenyo ama pandikizi hatakiwi kujulikana popote pale na kwa hali yoyote ile.. Hiyo ni kwa usalama wake, idara yake na maslahi ya mwajiri wake
You are better than this kiongozi.Nayo ilikuwa kesi ya ugaidi?
Hujui vizuri hiyo case kilichotokea FBI walitaka Apple watoe publically Apple wakasema wangeziomba secretly wangewepa bila shida sababu inge tarnish biashara yao.FBI Waka withdraw case dhidi ya Apple na Apple wakawapa kila kitu halafu FBI wakaenda public kutangaza kuwa wao wamegundua software yao ya kudukua kila mteja wa simu .Case ikawa closed
Ukiidukuliwa Marekani FBI wanasema tumekudukua na software yetu Kumbe wanapewa na makampuni yenyewe kwa mlango wa nyuma
Uko sahihi hiyo issue ilikuwa business issue sio issue ya serious threat kwa Usalama wa taifa.It was just a business threat any individual issue not a serious issue tishio kwa Usalama wa Taifa.Ukiingia ugaidi Aiseee utatafuta Maji ya kunywa yaliko.Utasikia kiu bila kukaukiwaHapo umenidanganya. Kuna sheria ya kulinda taarifa ya mteja. Hii sheria ni ya dunia nzima wala siyo Tanzania tu.
Unafikiri kwanini Max alikataa kutoa taarifa za JF members? Yeye ni nani mpaka alikataa?
Alisimamia sheria ndiyo maana mpaka leo members wa JF wanaenjoy na maisha.
Tupo kwenye ulimwengu wa watu wenye IQ kubwa kwahiyo kabla ya kujibu inabidi utafakari jibu lako.
Huyo ni wa kuhurumiwa tu mkuu. Akili zake anazijua mwenyewe tuUmeelewa nilichoandika kweli? Au umekurupuka tu kuwahi kuchangia?