Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.

. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya.

. Asubuhi naamka kisha naanza kumtafuta mmoja baada ya mwingine kwa wale walio nitumia ujumbe usiku, lakini nao wanabaki wanashangaa kuwa nao wametumiwa message kutoka namba tofauti tofauti mida ya Saa sita usiku,

. Baada ya kufika ofisini, nakutana na wafanyakazi wenzangu nao wakiwa busy kuwapigia simu watu ambao waliwatumia message mida ya usiku.. Nimeshangaa sana

Mitandao ya simu hili suala mmelikalia kimya Sana.. Je Kuna usalama huko makao makuu??
View attachment 3340076

.

View attachment 3340078

.
View attachment 3340077

Hizi ni baadhi tu ya sms ambazo nimetumiwa usiku wa Kuamkia leo.
Imenikuta watu wawili, mmoja akanambia tutachat kesho na mwingine ananambia madudu gan sijui.
 
. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.

. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya.

. Asubuhi naamka kisha naanza kumtafuta mmoja baada ya mwingine kwa wale walio nitumia ujumbe usiku, lakini nao wanabaki wanashangaa kuwa nao wametumiwa message kutoka namba tofauti tofauti mida ya Saa sita usiku,

. Baada ya kufika ofisini, nakutana na wafanyakazi wenzangu nao wakiwa busy kuwapigia simu watu ambao waliwatumia message mida ya usiku.. Nimeshangaa sana

Mitandao ya simu hili suala mmelikalia kimya Sana.. Je Kuna usalama huko makao makuu??
View attachment 3340076

.

View attachment 3340078

.
View attachment 3340077

Hizi ni baadhi tu ya sms ambazo nimetumiwa usiku wa Kuamkia leo.
Ni ww au yeye ndio kasema Hakujuhi? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom