Kweli mitandao hiii kama wasimamizi wana elimu ndogo, kudukuliwa inakuwa rahisi kabisa, nimesikitika sana kuona tanpol nao wamepigwa wormsTushtuke mapema turudi kwenye maisha ya ujima. Ila it is prophetic! Lazima iwe kama ilivyonenwa.
Imenikuta watu wawili, mmoja akanambia tutachat kesho na mwingine ananambia madudu gan sijui.. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.
. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya.
. Asubuhi naamka kisha naanza kumtafuta mmoja baada ya mwingine kwa wale walio nitumia ujumbe usiku, lakini nao wanabaki wanashangaa kuwa nao wametumiwa message kutoka namba tofauti tofauti mida ya Saa sita usiku,
. Baada ya kufika ofisini, nakutana na wafanyakazi wenzangu nao wakiwa busy kuwapigia simu watu ambao waliwatumia message mida ya usiku.. Nimeshangaa sana
Mitandao ya simu hili suala mmelikalia kimya Sana.. Je Kuna usalama huko makao makuu??
View attachment 3340076
.
View attachment 3340078
.
View attachment 3340077
Hizi ni baadhi tu ya sms ambazo nimetumiwa usiku wa Kuamkia leo.
Aliyesema Dunia Ina mambo hajakosea. Hii Dunia haiko safe, inaweza ikamchafukia mtu yeyote bila kujali uzito wake.Ni kweli mkuu, nahisi wameamua kuonyesha makucha kuwa wanaweza kufanya ukritimba wowote ule kwa namna wanavyotaka.
HahahahaVibunda tuanze kuviweka ndani magetoni tuuh. Kuna siku tutaamka maskini walahi
Jamaa umejibu kwa wasi wasiππ mimi jana imeingia meseji niliyotumiwa 2020 kwenye halotel
Ni ww au yeye ndio kasema Hakujuhi? π€£π€£. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.
. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya.
. Asubuhi naamka kisha naanza kumtafuta mmoja baada ya mwingine kwa wale walio nitumia ujumbe usiku, lakini nao wanabaki wanashangaa kuwa nao wametumiwa message kutoka namba tofauti tofauti mida ya Saa sita usiku,
. Baada ya kufika ofisini, nakutana na wafanyakazi wenzangu nao wakiwa busy kuwapigia simu watu ambao waliwatumia message mida ya usiku.. Nimeshangaa sana
Mitandao ya simu hili suala mmelikalia kimya Sana.. Je Kuna usalama huko makao makuu??
View attachment 3340076
.
View attachment 3340078
.
View attachment 3340077
Hizi ni baadhi tu ya sms ambazo nimetumiwa usiku wa Kuamkia leo.
Mimk nilipigiwa tu na namba ngeni sikupokeaWengi jana imewakuta hiyo, unaamka asubuh message lukuki Alafu namba zote ni ngeni.
Utanishinda hapa, nitakushinda pale. Ni mwendo wa hivyo hadi mwisho.Hahaha π π , kabisa mkuu tuishi kwa amani, hizi battle kila mtu anajua wapi atakupiga za uso