DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Hakika kipindi hiki bando halikati katika Simu ndiyo maana Kila muda Niko JF.Kipindi hiki hakikisha bundle halikati, ili kuona yanayojiri.
Hakuna shida maana mimi ni mfu mtarajiwaπ.
Wee Wizzo, em tuma hapa hizo text, wambea wa JF tujimwaye nazo. Woiiiih
Hahaha π.Wee Wizzo, em tuma hapa hizo text, wambea wa JF tujimwaye nazo. Woiiiih
πππππ
Wee em sema kweli?! ππππHahaha π.
Na hiyo ndiyo furaha yangu. Itafanya mishangazi kujazana kwa piem yangu.
That's fact ππWee em sema kweli?! ππππ
Bas sawaaThat's fact ππ
Unasemaje mkuu πKama sina namba yako huwezi nipigia wala nitext...
Wasiojulikana hao,uwe makini wanakudaka sio mdaNi kweli mkuu, nahisi wameamua kuonyesha makucha kuwa wanaweza kufanya ukritimba wowote ule kwa namna wanavyotaka.
Unasemaje mkuu π
Nipe nambari yako nikuoneshe vile ambavyo sisi hufanya.Kama haupo kwenye phone book/contacts list hata ufanyeje huwezi nipigia simu ukanipata au nitumia text ikafika...
Mimi ndio nacontrol nani wa kunipigia na nani wa kunitext, hivyo napokea simu na texts za known contacts tu...
Ngoja kesho nikiweka salio nitakupigia.0754380176