Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabisa🤔

Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashinde😅
 
Ben Bibi Netanyahu kahudumu kama miongo miwili ya uwaziri mkuu, wayahudi labda wanataka ladha mpya.
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
 
Ben Bibi Netanyahu kahudumu kama miongo miwili ya uwaziri mkuu, wayahudi labda wanataka ladha mpya.
Malalamiko ni ugumu wa maisha na gharama za maisha kupanda, yaani msoto
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
Ngoja tuone wayahudi wa chunya wanadai neta akishindwa atakaye kuja ataifuta palestina siku mbili😅
 
Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabaisa🤔

Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashinde😅
Wenye chuki binafsi na Netanyahu Endeleeni kujifariji tu cha moto kiko palepale!!
 
Back
Top Bottom