Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabisašŸ¤”

Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashindešŸ˜…
 
Ben Bibi Netanyahu kahudumu kama miongo miwili ya uwaziri mkuu, wayahudi labda wanataka ladha mpya.
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
 
Ben Bibi Netanyahu kahudumu kama miongo miwili ya uwaziri mkuu, wayahudi labda wanataka ladha mpya.
Malalamiko ni ugumu wa maisha na gharama za maisha kupanda, yaani msoto
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
Ngoja tuone wayahudi wa chunya wanadai neta akishindwa atakaye kuja ataifuta palestina siku mbilišŸ˜…
 
Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabaisašŸ¤”

Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashindešŸ˜…
Wenye chuki binafsi na Netanyahu Endeleeni kujifariji tu cha moto kiko palepale!!
 
Priority number moja ya Israel ni kuwatandika waislam mpaka waache ugaidi. haijalishi Waziri Mkuu ni nani na mwaka gani
Unaongea ukitokea chaka gani ukikata gogo Njeree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…