Yaaah kawapita wapenda sifa wenzake... MakoloHahahaha sasa kumbe unajua kuwa hizi followers zinaletwa na show off ,
Kwahiyo manara ni mkubwa wa show off za mitandaoni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna akili.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mkuu MAKOLO wanaleta hoja wakiwa na uchungu mwinginani mtoto nani mlezi? hiyo dunia ilishapita mkubwa sheria tu sote tuko sawa ! hakuna anaemlisha mwenzake kati ya Karai na Manara show show bampa to bampa!! ubingwa raha sana fataki Arusha kama hepi nyu yia!
Tutawakera Kolo FC mwaka mzima hadi mpasuke kwa hasira kama kachokozwa mnataka atulie hiyo haipo jino kwa jino mkubwa sijui mlezi nyumbani kwake!!
Utopolo ina followers wangapiSalaam Wana JF
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya....
ManaraJiwe la barafu Ni lipi hapo
Simba ni Club ya tano kwa kuwa na wafuasi wengi mitandaoni Barani Africa ikizidiwa na Al Ahly, Zamalek, Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca tu.Salaam Wana JF
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya...
Kosa lake ni nnYani hii ndio aina ya watanzania wanaopambana kupatikana kwa katiba mpya[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sifa za kijinga kutoka kwa mhitimu wa chuo cha kuzalisha wajinga hapo YangaSalaam Wana JF
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya....
Bila kusahau ongezeko la vichaa huko utopoloni.Haji sio tu kuwa ni mkubwa kuliko Simba bali pia ana upepo balaa! kahama Kolo FC na makombe yote kahamisha kabati lao limebaki tupu!!
alichowaachia msimbazi ni vurugu, ukata , kutukana Yanga fans matusi mazito, kugombana na kufukuzana!!
lete hoja acha kubwabwaja!! kabati tupu!!Bila kusahau ongezeko la vichaa huko utopoloni.
Yanga ndio waliyowafanya muingize mapato mengiSimba ni Club ya tano kwa kuwa na wafuasi wengi mitandaoni Barani Africa ikizidiwa na Al Ahly, Zamalek, Kaizer Chiefs na Wydad Casablanca tu.
Huyo mbuzi wenu wa kafara ni mkubwa kuliko Yanga ila siyo Simba.
Simba ndiyo club inayoongoza kuingiza mashabiki wengi kwenye michuano ya CAF kuliko Club yoyote huyo mbuzi wenu wa kafara awatambie huko huko dimbwini.