Mitandaoni: Manara ni mkubwa kuliko Simba

Haji sio tu kuwa ni mkubwa kuliko Simba bali pia ana upepo balaa! kahama Kolo FC na makombe yote kahamisha kabati lao limebaki tupu!!

alichowaachia msimbazi ni vurugu, ukata , kutukana Yanga fans matusi mazito, kugombana na kufukuzana!!
Makolo hawataki kuusikia huu ukweli
 
manara miaka 30/40 ijayo anaweza asijue maana ya neno Yanga achilia mbali kutamka neno simba bila meno...
Kwa usajili wanao ufanya Simba......unadhani wata sustain....Hadi miaka ijayo?
 
Simba hata isiposajili ikabaki inakuza watoto itaendelea kuwepo kwa miaka mingi.......
 
Yanga imezaliwa 35 na imepitwa followers na Manara na SIMBA hii tuiite KUBWAJINGA FC
Screenshot_20220705-015516.jpg
 
Salaam Wana JF,

Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya

Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA

Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.

Manara,

Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4

Source Instagram.

View attachment 2279696
Lete na Yanga tuone amemzidi ngapi Manara
 
Basi na hela awe nazo kubwa kuliko simba. Aisee kweli utopolo ni utopolo tu. Ukubwa unapimwa kwa followers..? 🤣🤣🤣🤣
 
Salaam Wana JF,

Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya

Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA

Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.

Manara,

Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4
Hesabu za ndogo kuliko na kubwa kuliko zilikushinda.. leo unajifanya kufanya comparison! Mwehu kweli wew
 
Salaam Wana JF,

Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya

Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA

Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.

Manara,

Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4

Source Instagram.

View attachment 2279696
Ananunua follwers
 
Back
Top Bottom