Makolo hawataki kuusikia huu ukweliHaji sio tu kuwa ni mkubwa kuliko Simba bali pia ana upepo balaa! kahama Kolo FC na makombe yote kahamisha kabati lao limebaki tupu!!
alichowaachia msimbazi ni vurugu, ukata , kutukana Yanga fans matusi mazito, kugombana na kufukuzana!!
Leta na za uto kule instaLeteni data za Instagram
manara miaka 30/40 ijayo anaweza asijue maana ya neno Yanga achilia mbali kutamka neno simba bila meno...Manara ni jabari la mawe
Simba hata isiposajili ikabaki inakuza watoto itaendelea kuwepo kwa miaka mingi.......Kwa usajili wanao ufanya Simba......unadhani wata sustain....Hadi miaka ijayo?
Mbona umetuletea statistic za manara kutoka ig na wewe ni mbea?Instagram Ni mtandao wa wambeya
Lete na Yanga tuone amemzidi ngapi ManaraSalaam Wana JF,
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya
Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA
Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.
Manara,
Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4
Source Instagram.
View attachment 2279696
Basi na hela awe nazo kubwa kuliko simba. Aisee kweli utopolo ni utopolo tu. Ukubwa unapimwa kwa followers..? 🤣🤣🤣🤣Salaam Wana JF,
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya
Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA
Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.
Manara,
Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4
Source Instagram.
View attachment 2279696
Hesabu za ndogo kuliko na kubwa kuliko zilikushinda.. leo unajifanya kufanya comparison! Mwehu kweli wewSalaam Wana JF,
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya
Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA
Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.
Manara,
Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4
Ananunua follwersSalaam Wana JF,