Mitano tena kwa Samia nini ushauri wako kama Mtanzania mwenye nchi?

Mitano tena kwa Samia nini ushauri wako kama Mtanzania mwenye nchi?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
1734116104347.png

Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi yako, una maoni gani kuhusiana na hili na kwanini? Nashauri, katika kuchangia, tuweke uchawa hata udini kando kwani Tanzania ni ya watanzania na si ya chawa wala wadini. Asanteni sana wanangu.
 
Kama Vingunguti kuna Samia hapo sawa. Lkn kama ni Samia wa Kizimkazi, hatumtaki, arudi kwao.
 
Nchi imemshinda, arudi kwao akacheze na wajukuu, kung'ang'ania uongozi ambao haukuwa wake Bali kaupata kibahati hii inaleta picha mbaya kuwa alimfanyia figisu mtangulizi wake ili apate yeye nafasi.

Chawa na wahujumu uchumi hawaupendi huu ukweli japo ndio uhalisia wenyewe, Sa💯 kaiharibu nchi, Kila mahala pako hovyo, Sasa hata hilo litreni lao wamelihujumu mnaletewa mainjini ya mafuta baada ya Kushindwa kulimudu kupitia nishati ya umeme ambayo nayo wameihujumu wao wenyewe.

NCHI IKO GIZANI, CCM WAONEENI HURUMA WATANZANIA
 
View attachment 3176085
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi yako, una maoni gani kuhusiana na hili na kwanini? Nashauri, katika kuchangia, tuweke uchawa hata udini kando kwani Tanzania ni ya watanzania na si ya chawa wala wadini. Asanteni sana wanangu.
CCM hawajawa serious na maisha halisi ya Watanganyika.

Mama yule uwezo wake wa kudadavua mambo,kubuni,kufuatilia, kuyaelewa, na kuyafanyia KAZI ni mdogo sana

CCM watuletee mgombea ,kama wako serious na election.

Otherwise,yule bibi ataingiza nchi mtegoni 2030.

Na 2030 CCM itasambaratika,! Kama KANU.

Kuna watu wachache nchini KAZI Yao ni mapambio ,kumsifia na kurusha picha zake jila Kona na Kila saa! Lengo ni kuonyesha anaweza jambo ambalo sio kweli.
 
Attachments

  • 1734113898777.png
    1734113898777.png
    136.5 KB · Views: 4
  • IMG-20241213-WA0037.jpg
    IMG-20241213-WA0037.jpg
    86.1 KB · Views: 3
  • IMG-20241213-WA0150.jpg
    IMG-20241213-WA0150.jpg
    94.4 KB · Views: 3
Ikiwezekana katiba ifanyiwe mapitio ili ikifika 2030 agombee tena ili atimize awamu mbili ambazo amechaguliwa na wananchi....hii miaka minne ya sasa isihesabiwe kwa sababu hakugombea nafasi ya Urais, alilazimika...mimi nasema kumi tena kwa Samia✊✊
 
Mambo yote yameonekana mama, namaanisha mazuri na mabaya.

Haya mabaya inabidi utafute njia ya kuyaondoa kabisa maana yanafunika mema yote
 
Ikiwezekana katiba ifanyiwe mapitio ili ikifika 2030 agombee tena ili atimize awamu mbili ambazo amechaguliwa na wananchi....hii miaka minne ya sasa isihesabiwe kwa sababu hakugombea nafasi ya Urais, alilazimika...mimi nasema kumi tena kwa Samia✊✊
Maavi
 
View attachment 3176085
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi yako, una maoni gani kuhusiana na hili na kwanini? Nashauri, katika kuchangia, tuweke uchawa hata udini kando kwani Tanzania ni ya watanzania na si ya chawa wala wadini. Asanteni sana wanangu.
Samia hafai kuwa rais wa nchi yetu ameonesha udhaifu mkubwa kusimamia demokrasia na uchumi.
 
View attachment 3176085
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi yako, una maoni gani kuhusiana na hili na kwanini? Nashauri, katika kuchangia, tuweke uchawa hata udini kando kwani Tanzania ni ya watanzania na si ya chawa wala wadini. Asanteni sana wanangu.
Si toto pendwa amethibitisha kuwa amerogwa sasa kweli tumpe mitano tena mtu aliyerogwa au na sisi Watanganyika pia tumerogwa?
 
Mimba ya mtoa post ilitungwa huku mama yake amelewa gongo.
Heri yeye kuliko aliyezaliwa na kichaa na akarithi ukichaa hadi kuokotwa jalalani kama kabundi. Nyambaff kabisa. Maavi.
 
View attachment 3176085
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi yako, una maoni gani kuhusiana na hili na kwanini? Nashauri, katika kuchangia, tuweke uchawa hata udini kando kwani Tanzania ni ya watanzania na si ya chawa wala wadini. Asanteni sana wanangu.
10 ndio inafaa tena
 
Kukataa kauli mbiu iliyotolewa ni muhimu kwa sababu kadhaa zinazohusiana na masuala ya kiuchumi, kisiasa, na kijamii, ambayo yanakabili nchi yetu.
Hapa chini ni sababu kadhaa za msingi za kuikataa kauli mbiu hii:

1. Uchukuaji wa Mikopo Isiyolipika
Mikopo ambayo haijalipika inasababisha mzigo mzito kwa kizazi kijacho. Serikali inapaswa kuzingatia mikakati thabiti ya kulipa madeni ili kuhakikisha maendeleo endelevu.

2. Rushwa
Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo, ikisababisha rasilimali nyingi kutumika vibaya. Hali hii inapaswa kukataliwa ili kuimarisha uaminifu katika utawala.

3. Kushindwa Kumalizia Miradi ya Kimkakati
Mfano mzuri ni mradi wa SGR ambao umekuwa na changamoto nyingi. Kukosekana kwa ufanisi katika miradi hii kunakwamisha maendeleo ya kiuchumi.

4. Barabara Mbovu
Barabara nyingi nchini ni mbovu na hazikarabatiwi, hali ambayo inasababisha usafiri kuwa mgumu na kuongeza gharama za usafirishaji.

5. Hali ya Maisha
Wakati hali ya maisha inazidi kuwa ngumu na dhamani ya fedha inashuka, wananchi wanahitaji serikali inayojali masuala yao ya msingi.

6. Mirafi ya Kielimu na Kiafya Kisiasa
Kukosekana kwa mipango thabiti ya elimu na afya kunapelekea umaskini na ukosefu wa maendeleo katika jamii.

7. Kutoza Watanganyika Tozi Nyingi
Kuongeza tozo mbalimbali kunaathiri uwezo wa wananchi kiuchumi. Serikali inapaswa kufikiria upya sera zake za ukusanyaji mapato.

8. Kukosekana kwa Tume Huru
Kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi kunakosesha uaminifu katika uchaguzi na kuathiri demokrasia nchini.

9. Fedha za Zanzibar
Kusimamia fedha nyingi kupelekwa Zanzibar bila uwazi kunaleta hisia za kutengwa kwa sehemu nyingine za nchi.

10. Ubinafsishaji wa Maliasili
Maliasili za nchi zinapaswa kusimamiwa kwa umakini. Ubinafsishaji usio na uwazi unapelekea rasilimali za nchi kutumika vibaya.

11. Utoroshaji wa Madini
Utoroshaji wa madini ni janga ambalo linahitaji umakini wa hali ya juu. Serikali inapaswa kudhibiti na kuweka sheria zinazofaa.

12. Wahamiaji Haramu
Kukosekana kwa udhibiti wa wahamiaji haramu kunaleta changamoto za kiusalama na kiuchumi, na hivyo ni muhimu kuweka mikakati madhubuti.

13. Bima ya Afya
Kukosekana kwa bima ya afya kwa wote kunawafanya wananchi wengi kukosa huduma za afya, hali ambayo inahitaji umakini wa kiutawala.

14. Takwimu Hewa
Takwimu zisizo sahihi zinachangia katika mipango mibovu ya maendeleo. Serikali inapaswa kuhakikisha kwamba takwimu zinakusanywa kwa uaminifu.

Ushauri kwa Watanzania
Kama Mtanzania, ni muhimu kushiriki katika mchakato wa kisiasa kwa njia ya amani na kujihusisha na masuala ya kijamii. Kujenga umoja na kushirikiana ili kuhakikisha kwamba sauti ya kila Mtanzania inasikika ni muhimu. Aidha, ni wajibu wa kila mmoja wetu kudai uwazi na uwajibikaji kutoka kwa viongozi wetu ili kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu.

Kwa hivyo, ni muhimu kuikataa kauli mbiu hii hadi pale ambapo itakapokuwa na maono ya kweli kwa ajili ya maendeleo ya nchi na watu wake.
 
Attachments

  • 20250107_214111.jpg
    20250107_214111.jpg
    139 KB · Views: 2
  • 5929966-5358adcd11ca564ef6ab279deb233ae9 (1).mp4
    14 MB
  • 5929821-198fc1123fd1f9efaca27ad31f3b1b4d.mp4
    16.1 MB
  • 5929737-a8b203cc32fe3bd3ff1f7f079ff20385.mp4
    6 MB
  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
  • 5929282-43d7e58f930fba84b8de7085be6f9086.mp4
    19.9 MB
  • 5927498-2e0fcb2f4b3276cff8295954bbbf276f.mp4
    10.3 MB
  • VID-20250113-WA0001.mp4
    14 MB
Back
Top Bottom