'Mitano tena' maana yake nini?

'Mitano tena' maana yake nini?

a20s

Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
25
Reaction score
54
Wadau natumaini mko poa, kuna hii kauli inazagaa sana kwenye social media hasa humu "jf" utaskia mtu anakoment jambo fulani mwisho anasema "MITANO TENA " kwa nnavyofikir mmi kauli hii kama vile imekaa kichochezi flani wwe unaonaje mdau
 
Kama hujui maana ya mitano tena muulize mamaako hapo mafuta ya kula lita moja bei gani utaelewa tu
 
Kumbe hujui maana yake sasa uchochezi unaousema ni upi?
 
Mimi mwanzo niliiona huku kwetu kwenye bango moja barabarani lenye rangi ya njano na kijani.
 
Kulimia kwa meno, kupalilia kwa kucha na kumwagilia kwa machozi. Mitano tena ndugu zangu ndio kwanza tunaanza, lazima tumlazimishe kumi mingine.
 
Back
Top Bottom