Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 142
- 88
Asante mkuu, kupavunja haiwezekani lakini,Sasa mbona hii ulitakiwa kufanya kabla hujagonga hizo mbao? Hapa tafuta mafundi wazuri wa kuweka hizo style waangalie jinsi ya kufanya. Isikupe shida sana inawezekana kufanyika either kwa kuongezea mbao au wavunje sehemu nyingine waweke upya
Mbona pic kwangu hazifunguki?Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha...
Ziko style tofauti, kuna za mitaro inapita kati, kuna za mitaro inapita pembeniHapo iltakiwa maji yavyunwe katikati kwa kuweka mtaro ,yaani bati Kama ni futi kumi upande wa kusho na kulia
Naamanisha kuvunja hizo mbao, siyo gutter, tafuta designer wanaotengeneza maua ya gypsum, siyo hawa wagonga gypsum.Asante mkuu, kupavunja haiwezekani lakini,
Mfano, unaweza kujenga Box linalofanana na hiyo gutter kwa hizi pande nyingine, then hapo katikati ukatengeneza urembo wowote. Ukija kupiga rangi mtu hajui ipi gutter ipi board.Asante mkuu, kupavunja haiwezekani lakini,
Saa nyingine wakati unataka kushauri kitu, fikiria kwanza kichwani kwako kabla ya kuandika, sasa hapo ashapiga gutter, kupaua mpaka kapiga draft wewe unamwambia maji ayavunie kati kati? si unaona nyumba ishakamilika hapo? Avunje gutter na kutoa bati halafu aweke gutter jingine?mkuu unatakiwa udesign ndo upige draft. maji jaribu kuyavuna kati kati. bora uingie gharama ya marekebiaho sasa. maana ramani inaweza kukunyima raha mpaka ukakosa amani kwenye nyumba yako.
Saa nyingine wakati unataka kushauri kitu, fikiria kwanza kichwani kwako kabla ya kuandika, sasa hapo ashapiga gutter, kupaua mpaka kapiga draft wewe unamwambia maji ayavunie kati kati? si unaona nyumba ishakamilika hapo? Avunje gutter na kutoa bati halafu aweke gutter jingine?
Zipo za style hiyo unayosema, zipo za gutter kati kati na zipo hizi pia. Maji yanamwagika nje kama kawaidaHii mitaro ilitakiwa kuwa pembeni yani hapo gutter inapoanzia ndio ukuta wenye madirisha ukitakiwa uwe hapo gutter ikae kwa nje, sijajua iyo slab nao inamwag a maji kwenye hiyo gutter?
Zipo za style hiyo unayosema, zipo za gutter kati kati na zipo hizi pia. Maji yanamwagika nje kama kawaida
Mkuu hizo mbao ni flat surface ya ceiling. Shida sio hizo mbao shida ni huo mtaro nauficha vipi bila kuharibu nyumbaNaamanisha kuvunja hizo mbao, siyo gutter, tafuta designer wanaotengeneza maua ya gypsum, siyo hawa wagonga gypsum.
Slub ina bomba za kushusha maji chini, haimwagi ktk gutterHii mitaro ilitakiwa kuwa pembeni yani hapo gutter inapoanzia ndio ukuta wenye madirisha ukitakiwa uwe hapo gutter ikae kwa nje, sijajua iyo slab nao inamwag a maji kwenye hiyo gutter?
Asante mkuu, hii ilikua option ya haraka kufikiria ila itafanya nyumba iwe fupi sana. Ndio naumiza kichwa kutafuta option nyingineMfano, unaweza kujenga Box linalofanana na hiyo gutter kwa hizi pande nyingine, then hapo katikati ukatengeneza urembo wowote. Ukija kupiga rangi mtu hajui ipi gutter ipi board.
Hakika😐 yaani at this point najuta kujenga flat roof na sishauri mtu kuijenga ina a lot of hiccupsHidden roof always say "I dont want peace, i want problems, always"
Kwa ramani ilivyo gutter inakaa pembeni ina sijui kwanini mchora ramamni na fundi hawakushautiana gutter ikae nje. Na mimi niliona sawa tu ila kwa sasa ndio nagundua when it is too lateHii mitaro ilitakiwa kuwa pembeni yani hapo gutter inapoanzia ndio ukuta wenye madirisha ukitakiwa uwe hapo gutter ikae kwa nje, sijajua iyo slab nao inamwag a maji kwenye hiyo gutter?