Mitazamo na maoni ya wananchi kuelekea uchaguzi Oktoba 2025

Mitazamo na maoni ya wananchi kuelekea uchaguzi Oktoba 2025

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
972
Reaction score
2,000
Habari wakuu,

Kutokana na mivutano mbalimbali ya kisisa nchini kuhusiana na uchaguzi

Ambapo suala la "no reform no election" sasa limekuwa sio la CHADEMA pekee bali ni la wananchi wote

Mdao mmoja uko FESIBUKU ameuliza swali kwa umma likisomeka "UTAPIGA KURA?"

Wananchi wameonekana kujibu swali hili kutokana na mitazamo yao na misimamo yao dhidi ya uchaguzi wa October 2025
 

Attachments

  • Screenshot_20250604-003613~2.png
    Screenshot_20250604-003613~2.png
    369.4 KB · Views: 24
Hatupigi kura, ni ujinga na upumbavu kupangishwa foleni kwa jambo la maigizo, tusiende
 
Who cares, no reforms, wajipe asilimia wanazotaka!
 
Nimefurahi kuona watz tumeanza kuamka kifikra
 
Ajabu ni kwamba watu hao wote wanaosema hawapigi kura ndio hao hao kila ifikapo uchaguzi kawaida hawajitokezi kupiga kura,, na wanao piga kura ni wale wale mama zetu na wazee wetu pamoja na vijana wachache wasioelewa hili na lile,, nafikiri kuna kazi ya ziada kufanya ili kumaanisha kile wengi wanakitaka,,

Mwanza..
 
Back
Top Bottom