Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti?
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kuna wanawake wengine walitupigia stori za kwenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa za kupata hela nyingi kwenye shughuli zao na shida nyingine. Hao wanawake ni mama lishe, walituambia mikasa mingi waliyokutana nayo. Kali zaidi ni mkasa wa kuliwa uroda, wanasema walipelekwa vichakani ili wapewe dawa kwa staili ya kuliwa uroda. Walisema walioona mganga anataka kuwala uroda walimkatalia kwa kuanzisha vagi hatimaye walimkimbia na kuachana na dawa zake. Mikasa ya wanawake kuliwa uroda na waganga wa kienyeji ni mingi
 
Unakuta hata malengo yenyewe ya kwenda kwa waganga wala sio Biashara hizo zenyewe ila kuroga ili wapate mabwana
 
Back
Top Bottom