Wanaume ni viumbe ambao kiasili na kimaumbile ni wenye nguv(masculine). Bahati mbaya wale ambao wasio na misuli sana ndio udhaifu wetu. Kwa udhoefu wangu wa maisha, hii ni mitego yetu wanaume.
1. WANAWAKE.
Hawana nguvu za kimwili, lakiini kisaikolojia wananguvu kubwa mno(unakumbuka ya samson v. Delilah), unajua mwanamke ndie aliyesababisha Mwamba Mugabe leo hii awe raia wa kawaida? Vipi kuhusu julius kaisari na kleopatra. Adam na Hawa?
2. POMBE
Hapa sielezi.
Hitimisho: Nguvu sio mwili tu, hakuna nguvu kali kama ya kisaikolojia. Hii wanawake wanayo.
Ruksa kuongeza.