Mitego yetu wanaume

Mitego yetu wanaume

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
Wanaume ni viumbe ambao kiasili na kimaumbile ni wenye nguv(masculine). Bahati mbaya wale ambao wasio na misuli sana ndio udhaifu wetu. Kwa udhoefu wangu wa maisha, hii ni mitego yetu wanaume.
1. WANAWAKE.
Hawana nguvu za kimwili, lakiini kisaikolojia wananguvu kubwa mno(unakumbuka ya samson v. Delilah), unajua mwanamke ndie aliyesababisha Mwamba Mugabe leo hii awe raia wa kawaida? Vipi kuhusu julius kaisari na kleopatra. Adam na Hawa?

2. POMBE
Hapa sielezi.

Hitimisho: Nguvu sio mwili tu, hakuna nguvu kali kama ya kisaikolojia. Hii wanawake wanayo.

Ruksa kuongeza.
 
Weka hapa pombe na mwanamke halafu kule weka pesa yenye thamani sawa na pombe na mwanamke alafu utaona " which is which"
 
Mkuu hivi vitu vipo by nature. Na wao pia wanatamani wangekua na nguvu na uwezo wa kupambana na mwanaume kama ambavyo wao wana nguvu kisaikolijia na wewe una wish pia ungekua nao huo uwezo.
..
So its better ukashukuru vile ulivyo.
 
Back
Top Bottom