Panda miti ifuatayo Kama una eneo kubwa .
1.Mwembe utapata kivuli na matunda.
2.Mwarobaini utapata kivuli na mbao, mwarobaini una mbao nzuri sana ngumu na nyekundu.
3.Mzambarau utapata kivuli,matunda na mbao, nao una mbao nzuri sana.
4.Mparachichi utapata kivuli na matunda.
5.Mfenesi utapata kivuli,matunda na mbao.
Kama eneo dogo panda miti ifuatayo
1.Mstafeli
2.Miembe ya kisasa
3.Michungwa
4.Mbilimbi
5.Mpera