Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Duuh! Kazi kweli kweli. Jirani yangu kapanda 2010 taari anavuma Magogo makubwa Sana. Inategemea unapanda wapi, hali y hewa, mwinuko Toka usawa wa bahari, wastani wa Mvua na rutuba shambani.Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki!