Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Jan 22, 2024 #21 Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Duuh! Kazi kweli kweli. Jirani yangu kapanda 2010 taari anavuma Magogo makubwa Sana. Inategemea unapanda wapi, hali y hewa, mwinuko Toka usawa wa bahari, wastani wa Mvua na rutuba shambani.
Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Duuh! Kazi kweli kweli. Jirani yangu kapanda 2010 taari anavuma Magogo makubwa Sana. Inategemea unapanda wapi, hali y hewa, mwinuko Toka usawa wa bahari, wastani wa Mvua na rutuba shambani.
K Kwediduli Member Joined Feb 4, 2019 Posts 14 Reaction score 9 Jan 27, 2024 #22 Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Nenda Longuza, Muheza kashuhudie mitiki inavyovunwa.
Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Nenda Longuza, Muheza kashuhudie mitiki inavyovunwa.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jan 27, 2024 #23 dudus said: ... ila kilimo cha miti jamani; long term projects kwa ajili ya watoto na wajukuu. Click to expand... Lakini uzeeni sio mbali
dudus said: ... ila kilimo cha miti jamani; long term projects kwa ajili ya watoto na wajukuu. Click to expand... Lakini uzeeni sio mbali
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jan 27, 2024 #24 Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Zipo dawa za kupunguza miaka so miaka nane Hadi kumi unavuna
Truth Matters said: Mitiki haikomai hata miaka 50! Sijawahi kuona sehemu wamevuna mitiki! Click to expand... Zipo dawa za kupunguza miaka so miaka nane Hadi kumi unavuna