Juzi niliweka hii mada bwana nilitukanwa balaa. Niliwaambia nimefanya research wakabisha. Somen Tanzania daima. Haiwezekani watu wote wale wapate ziro na wasiofanya wapate three division.
Juzi niliweka hii mada bwana nilitukanwa balaa. Niliwaambia nimefanya research wakabisha. Somen Tanzania daima. Haiwezekani watu wote wale wapate ziro na wasiofanya wapate three division.
Wewe mwenyewe huna uakika na hyo research yako ndo maana unategemea magazeti sasa sie tutakuaminije? Tatzo sio kurudia mtihani bali mfumo uliopo athari zake ni researchi kama ya kwako iliyofanyiwa chumbani kwa copy and paste style. Kumbuka sio kila linaloandikwa kina uyakini.